Bongo - Dar es Salaam

Bongo - Dar es Salaam

Tangaza hapa...

Tangaza hapa...

Wednesday, June 29, 2011

Da Gea ajiunga United.

Kipa wa zamani wa Atletico madrid akiwa amepozi na Sir Alex Ferguson muda mfupi baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano wa kujiunga na Manchester united. Huyu ndie mrithi wa Edwin Van Der Saar aliyestaafu soka.Wasalaam,

0 comments: