Karibuni sana katika kona hii ya kujiachia na vituko mchanganyiko!!
Bongo - Dar es Salaam
Tangaza hapa...
Tuesday, June 14, 2011
Jamani jamani Mswati huyu angekuwa na mche wa sabuni kangebaki kachelema!
Wasichana wote hawa wanahakikiwa bikira zao ili wajiandae kushindania kungolewa na mfalme Mswati wa III. Jamaa ndio mwanaume mwenye raha kuliko wanaume wote duniani. Yeye kila mwaka anaoa tena anachagua kifaa bado mmmmmaaaaaaa! Wasalaam,
0 comments:
Post a Comment