Karibuni sana katika kona hii ya kujiachia na vituko mchanganyiko!!
Bongo - Dar es Salaam
Tangaza hapa...
Friday, December 23, 2011
Mafuriko Dar es Salaam...
Jiji la Dar limekumbwa na mafuriko ambayo yamesababisha maafa ya watu kupoteza maisha na mali zao kufuatia mvua zilizofululiza kwa takriban siku mbili. Wasalaam,
0 comments:
Post a Comment